Vien
JF-Expert Member
- Mar 6, 2020
- 6,585
- 10,363
Nawashauri Ghana wawasubiri ndugu zao Cameroon Airport muda c mrefu wataungana
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado kbs kisasi hakijalipwa. Ila ipo siku kitalipwa tuGhana kisasi bado, Mungu akijali98a hat6a wajukuu watakuja kulipiza kisasi cha 2010
Hii ni deni bado. walitudhalilisha sana
Asia wana Timu 3 na Africa 2 mpaka sasa.Moja ya mashindano bora kabisa ya kombe la dunia kuwahi kutokea....what a tournament
Wengi tumefurahi. Angesonga mbele ya Ghana ingekuwa dharau sana.Wachambuzi tz wanafurahia eti Uruguay naye katoka..
Bila kujiulaumu kwamba Uruguay ndiye kamzuia Ghana aliyekuwa na chance zaidi angeshinda..
Japan, korea kusini na ipi?Asia wana Timu 3 na Africa 2 mpaka sasa.
Sanaaaa. Linathibitisha kuwa mpira sio swala la kipaji tena bali "formal training" hivyo yoyote anayeweka jitihada na uwekezaji wa kutosha anafanikiwa. Sisi tu wamakonde huku ndio hatuna habari na kinachoendela huko dunia ya mpira.Kombe la dunia la mwaka huu hakika ni la ajabu na tamu sana
Bado kisasi, wajukuu watakuja kulipa, walitudhalilsha sana hiyo WC 2010kisasi kimelipwa katika namna ya kipekee sana
Japan, korea kusini na ipi?
Tuwashukuru Korea tusafi sana korea na ghana..ubaya ubaya tu...
sio kuleta huruma kama za ujerumani jana
Hakuna cha kuzidiwa west Africa usiwaamini kabisa. Hawanaga mijadala kwenye pesa.
I hate that man so called Suarez ,jamani simpendi Mungu anisamehe ila Toka Lile tukio nikimuona naskia hasira mnooooNimefurahi kuona chozi la Suarez. Angalau apate uchungu pumbav
ChinaJapan, korea kusini na ipi?
Ndio world cup yake ya mwishoShetani suarez analia jmn loh, kumbe inauma eh
Bye bye.Ndio world cup yake ya mwisho