Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

IMG_3868.jpg

Nini kimeifanya Korea Kufuzu?
 
Miaka mitano ijayo kamari itaharibu kabisa football
Wazungu wanataka mjishughulishe... achaneni na uvivu wa fikra kutegemea pesa rahisi kwa kubashiri eti kati ya huyu na yule nani atapigwa wakipigana?! Alafu uweke kiasi kidogo cha pesa baadae utunikiwe mapesa isiyo na jasho😂
 
Kwahiyo Uruguay wamewahonga Ghana?

Mkuu ume lost bet ama nini? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha. Mimi hata kama ningekuwa nabeti siwezi kubeti in favor na timu za Afrika hata kama watacheza na India au Oman😀
 
Back
Top Bottom