ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Ghana wana mtko makubwa sana shzkbsa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Win win situation
Ngoja mechi ijayo wacheze brazil na Korea uone mtakavyochakatwa 😃... silinganishi kaka nazungumzia upigaji kazi pale uwanjaniLeo Unalinganisha Brazil na USA?.
Yule ni kiokote, kalelewa na mama pekeeHivi Suarez kwao ni mtoto wa ngapi kuzaliwa? Mbona mlalamishi sana
Mpira una matokeo katili sometimes japo sifa kubwa ya Brazil ni kutodharau mechi. Ukiwafunga jua umewazidi sio vinginevyo. Si rahisi kuwafunga Brazil kama hujawazidi kwa maana ya kuwazidi.Brazil anapitia njia nyepesi mno
Anacheza mwaka huu mbona 😃... ni nani alitegemea Kuchukua Euro mwaka 2015?! Jamaa alichotabiri hapo ni sahihi kabisa!Portugal acheze final?
Hawa ghana walifuzu kimagumashi mechi ile na wasauziTimu nyingine sijui zinafuzu vip world cup takataka kabisa!!!!
Cameroon ndugu hata waruhusiwe wacheze 20 wale mbwa hawawezi kushinda dhidi ya Brazil. Wale wanafaa kwa kazi za utumwa tu mbwa wale ndio wanachoweza.Brazil akisoma upepo ya nini kubania Africa😀😀😀😀😀
M Serbia akakaza kula na Mswis..kuna maajabu mengine tutashudia makubwa mno
Mpaka bingwa hajulikani mara paaaap kombe lileeeeeeeee JPNNimeangalia Kombe la Dunia kuanzia 1998 kipind Davour Suka akiwa moto sana mpk 2022 Suarez akiwa analia
Ila niwe mkweli hili kombe la mwaka huu 2022 limekuwa bora kuliko mengine yote lwa sababu hakuna cha team kubwa au ndogo
Yule unayemdharau anakunyandua mchana kweupe na huna la kufanya
Na enjoy moment nyingi mwaka huu
Saud Arabia/Japan/Korea/Iran yaan wadogo wengi walio onekana underdog wamepiga vigogo
Nimelia kwa furaha...!
tukose wote tu...!!
HahahahaaaNdio world cup yake ya mwisho
Yaani hata mimi, wale walikuwa kwenye mgomo wao ilikuwa ni kupoteza muda tuKwa mara ya kwanza katika WC 2022 sijaweza angalia mpira kwa dakika zote, baada tu ya half time nikaona mchezo wa Ghana nikajua hapa Hamna kitu nikasepa
Yaani wanaridhika kama wameshinda, na ni kama walienda kutafuta draw badala ya kushinda.
African teams ni hovyo, except Waarabu wa Northen Africa
Unachokizungumza kuhusu brazil walikuwa nacho mnamo mwaka 2006 wakaishia kuharibikiwa... hata mwaka 2014 walikuwa na sifa hiyohiyo unayoizungumza wakaishiwa kuharibikiwa. Siku hizi hakuna kitu pale! Kikosi cha mwisho cha brazil cha dhahabu kilikuwa mnamo mwaka 2002... siku hizi ni matozi tu na wapenda mademu na starehe bila kusahau show-off nyiiiiiingi! 😂Mbwembwe kivipi hajaruhusu goli?. Halafu ndio timu rank namba moja.
Haha.Naam africa tunapenda hii[emoji16]
Tukose wote[emoji16]
Australia si bara?Australia mkuu, walihama Oceania siku hizi wapo Asia.