Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Suarez kalia sana leo daaah sio mchezo kutolewa kunauma sana,
Wewe unajali kuhusu huyo msenge Kulia?! Hivi wewe ni muafrika na uzalendo na afrika yako kweli?! Unajali kuhusu huyu jamaa kulia kwann usi-judge kulia kwetu sisi waafrika pale?!
 
1670003548237.png
 
Jordan ni mchezaji mzuri
Yule kocha ni senge kabisa watu wa maana kawaweka nje. Anachezesha yule mtt Jordan sikapendi kapumbavu long time. Kaka yake naye kapiga penati kama ana kipisi cha uume makalioni
Sema nimefurahi kazama na adui, bora tufe wote. Japo hata angefuzu, angeenda kukutana na Brazil wangechezea kichapo kizito.
 
Ghana matako ya aisha
Nimelia kwa furaha...!
tukose wote tu...!!
Teh teh teh 😂😂😂 huu uzi una comedy za kutosha haaa haaa..😂😂

Watz wanapenda sana mpira hili lipo wazi kabisa, inabidi tukomae na sisi timu yetu ya taifa siku moja ikawakilishe hili bara kwenye hayo mashindano maana hawa tuliowazoea wanazingua....😃😃😃
 
Back
Top Bottom