Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Nimeangalia Kombe la Dunia kuanzia 1998 kipind Davour Suka akiwa moto sana mpk 2022 Suarez akiwa analia

Ila niwe mkweli hili kombe la mwaka huu 2022 limekuwa bora kuliko mengine yote lwa sababu hakuna cha team kubwa au ndogo
Yule unayemdharau anakunyandua mchana kweupe na huna la kufanya

Na enjoy moment nyingi mwaka huu
Saud Arabia/Japan/Korea/Iran yaan wadogo wengi walio onekana underdog wamepiga vigogo
 
Mpaka bingwa hajulikani mara paaaap kombe lileeeeeeeee JPN
 
Kwa mara ya kwanza katika WC 2022 sijaweza angalia mpira kwa dakika zote, baada tu ya half time nikaona mchezo wa Ghana nikajua hapa Hamna kitu nikasepa

Yaani wanaridhika kama wameshinda, na ni kama walienda kutafuta draw badala ya kushinda.

African teams ni hovyo, except Waarabu wa Northen Africa
Yaani hata mimi, wale walikuwa kwenye mgomo wao ilikuwa ni kupoteza muda tu
 
Mbwembwe kivipi hajaruhusu goli?. Halafu ndio timu rank namba moja.
Unachokizungumza kuhusu brazil walikuwa nacho mnamo mwaka 2006 wakaishia kuharibikiwa... hata mwaka 2014 walikuwa na sifa hiyohiyo unayoizungumza wakaishiwa kuharibikiwa. Siku hizi hakuna kitu pale! Kikosi cha mwisho cha brazil cha dhahabu kilikuwa mnamo mwaka 2002... siku hizi ni matozi tu na wapenda mademu na starehe bila kusahau show-off nyiiiiiingi! 😂

Subiri utaona😃👍🏾
 
Kwanza hawa Ghana hawakustahili kuwepo WC hii. Walibebwa dhidi ya South Africa.
 
Back
Top Bottom