Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Hawa Ghana hawakutumia fursa hapo Benchi zingekutana haraka haraka watu wakafanya Transfer ya Pesa chap chap kwenye akaunti za watu alafu goli likafungwa...., nadhani hawana quick thinking....
 
Kwa mara ya kwanza katika WC 2022 sijaweza angalia mpira kwa dakika zote, baada tu ya half time nikaona mchezo wa Ghana nikajua hapa Hamna kitu nikasepa

Yaani wanaridhika kama wameshinda, na ni kama walienda kutafuta draw badala ya kushinda.

African teams ni hovyo, except Waarabu wa Northen Africa
 
Kombe la dunia la mwaka huu hakika ni la ajabu na tamu sana
Sanaaaa. Linathibitisha kuwa mpira sio swala la kipaji tena bali "formal training" hivyo yoyote anayeweka jitihada na uwekezaji wa kutosha anafanikiwa. Sisi tu wamakonde huku ndio hatuna habari na kinachoendela huko dunia ya mpira.
 
safi sana korea na ghana..ubaya ubaya tu...

sio kuleta huruma kama za ujerumani jana
 
Hahaha..unajua unakasirika weee Ghana kazingu..nimejikuta nimeshangalia kuona UruSuarezi Nje😀😀😀😀😀😀🙂😀🙂😀

Kombe hili lina vioja si mchezo.

Portugal kaona yanini iwe taabu..ngoja tuzamishe mtumbwi wa Vibwengo kule Uruguay....
 
Back
Top Bottom