Good comment....Ghana ndio kachezea shillingi chooni.Wachambuzi tz wanafurahia eti Uruguay naye katoka..
Bila kujiulaumu kwamba Uruguay ndiye kamzuia Ghana aliyekuwa na chance zaidi angeshinda..
Australia ni mojawapo ya timu tano zinazoiwakilisha hilo bara la AsiaAustralia si bara?
Ni mpumbavu..Ronaldo anafanyiwa sub analalamika
Huyo ronaldo ana matatizo
Wewe unajali kuhusu huyo msenge Kulia?! Hivi wewe ni muafrika na uzalendo na afrika yako kweli?! Unajali kuhusu huyu jamaa kulia kwann usi-judge kulia kwetu sisi waafrika pale?!Suarez kalia sana leo daaah sio mchezo kutolewa kunauma sana,
Morocco imefanya vibaya? Unaweza kuilinganisha na timu ipi ya Magharibi Mwa Africa?Waarabu wa northern africa hapo unatudanganya
Lini walifanya vizuri kuliko afrika magharibi
Kafunga magoli mengi kuliko UruguayView attachment 2433733
Nini kimeifanya Korea Kufuzu?
Anazeeka vibaya yule πRonaldo anafanyiwa sub analalamika
Huyo ronaldo ana matatizo
Huu ukweli sijui kwa nini waafrica hawataki kuukubaliIla mlikosa wenyewe penati
Yule kocha ni senge kabisa watu wa maana kawaweka nje. Anachezesha yule mtt Jordan sikapendi kapumbavu long time. Kaka yake naye kapiga penati kama ana kipisi cha uume makalioni
Sema nimefurahi kazama na adui, bora tufe wote. Japo hata angefuzu, angeenda kukutana na Brazil wangechezea kichapo kizito.
Korea ana goli nne za kufunga, Uruguay anazo goli 2 tuView attachment 2433733
Nini kimeifanya Korea Kufuzu?
Wachezaji wanabetMiaka mitano ijayo kamari itaharibu kabisa football
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ujambo ww binti wa kibrazilSuarezzzz kama nakuona ulivo na Ussshuunggguu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]!
Magoli mengi ya kufungaView attachment 2433733
Nini kimeifanya Korea Kufuzu?
Ghana matako ya aisha
Teh teh teh πππ huu uzi una comedy za kutosha haaa haaa..ππNimelia kwa furaha...!
tukose wote tu...!!