Franklin1902
JF-Expert Member
- Aug 1, 2018
- 2,241
- 4,876
Kabisa watu wanafikir kufix mechi ni rahis tu ivo.. Sisi watu weng wa mikeka hatupend kwnd na uhalisia tunaweka mikeka kwa mazoea.Muwe mnaangalia na vikosi vinavyopangwa msije mkasema match zko fixed
Ndo kilichowacost..kumbe tunawaza sawa basi na mm ni mwanamichezo kweri kweri
Wakamilishe tu ratiba wafunge virago vyao!Hushabikii Kaka zako Cameroon!!??
Nipo brother sasa niende wapi na humu ndo pananipa kicheko hahahhahaHahaha,madam kumbe bado upo...
Fu..cking squadFive changes for Cameroon after their dramatic 3-3 draw against Serbia.
Forward Vincent Aboubakar comes in for Karl Toko-Ekambi while Eric Choupo-Moting and Brentford's Bryan Mbuemo both start.
Fulham's Andre Anguissa also starts in midfield.
Cameroon starting XI: Epassy, Tolo, Wooh, Ebosse, Fai, Ngamaleu, Kunde, Anguissa, Choupo-Moting, Aboubakar, Mbuemo
[emoji23][emoji23][emoji23]Kamsindikize airport chapu[emoji23][emoji23]
Haha dada zao na mabitoziKabisaa leo uafrica tunauacha pembeni leo ni dada zao kina Neymar
[emoji1787][emoji1787]Pamoja na mikwara yote lakini wapiView attachment 2433789
Yaah leo sisi ni wa dada wa kibrazilHaha dada zao na mabitozi
Wameamua wawape wachezaji wengine mafasi nao wachezeBrazil makes 10 Changes
Ederson comes in for Alisson while Alex Telles and Dani Alves start along with Liverpool midfielder Fabinho and Manchester United's Fred.
Gabriel Jesus starts up top in place of Richarlison with Antony and Rodrygo in for Raphinha and Vinicius Junior.
Brazil starting XI: Ederson, Telles, Bremer, Militao, Alves, Fred, Fabinho, Martinelli, Rodrygo, Antony, Jesus
Lakini hizo 10 changes bado talent yao ni kubwa kuliko Takriban robo tatu ya timu zote za WC
Kweli Samba Boys Mpira ndio Nyumbani
Walitakiwa wakacheze na sio kusema tunaenda lipiza kisasi, mnapewa penati mnaleta utoziNdo kilichowacost..kumbe tunawaza sawa basi na mm ni mwanamichezo kweri kweri
Ndio ila kule hakuna ushindani kuna kina new zealand na vitimu vidogo wamejitoa kule wamekuja Asia.Australia si bara?
Wazungu wanataka mjishughulishe... achaneni na uvivu wa fikra kutegemea pesa rahisi kwa kubashiri eti kati ya huyu na yule nani atapigwa wakipigana?! Alafu uweke kiasi kidogo cha pesa baadae utunikiwe mapesa isiyo na jasho[emoji23]
Nakubali nataka mufike fainali nyinyiYaah leo sisi ni wa dada wa kibrazil