Wajitume vipi jamaninwakati sie wenyewe huku hatuwathaminiKiukweli ni kwasababu ni waafrica...ila sina imani na timu zetu, yaani mchezaji wa africa akiwa na mpira mda wowote anaweza nyang'anywa...bora Ghana kidogo wachezaji walikuwa na uwezo wakumiliki mpira tatizo na wao walikuwa hawajitumi kama Cameroon.
🤣🤣🤣Yaani acha KabisaYaani akili za waafrika ngumu sana kuzielewa. Scope ya mafanikio yao fupi Sana.
Upuuzi tu huoHistoria hiyo we uwezi elewa amekuwa mtu wa kwanza kutoka bara tofauti na ulaya na south america kuwaua brazili since kombe la dunia lianzishwe[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Ole wake nimsikie mtu aniambie mpira ni mchezo wa kanuni. Cameroon imefungwa na Switzerland, na kudroo kwa bahati na Serbia. Brazil aliyemfunga Serbia na Switzerland anafungwa na Cameroon.
Tunapenda vitu vizuri.Wajitume vipi jamaninwakati sie wenyewe huku hatuwathamini
Ohoooo
Nafaa kuwa mtabiri🤣Mechi inaisha kwa sare ya bilabila au goli moja kwa Cameroon 🤣
Hee!Haya kesho mapema tukutane Booking office za Qatar Air ways
Sema brazil ya kikosi BOle wake nimsikie mtu aniambie mpira ni mchezo wa kanuni. Cameroon imefungwa na Switzerland, na kudroo kwa bahati na Serbia. Brazil aliyemfunga Serbia na Switzerland anafungwa na Cameroon.
Hili li abubakar hatari atriker la ukweli kma anapiga magoli mazuri hivi na huko kwenye 6 by 6 basi mke wake anafaidi sana,🤣🤣🤣🤣Ila mpira una kasi hadi raha, cameroon wamejitahidi leo.
Imagine kama Cameroon ingekuwa inaendelea, means Abubakar asingecheza; which could be a huge cost to his team!Upuuzi tu huo
Serbia ndio kawafelishaWin and lost
Waafrika Wapuuzi kafunga goli zuri na alikuwa na njano anakula Umeme 🤣🤣🤣kweli si ni Nyani
huyu kipa wa cameroon kapiga kazi sana aisee.
Brasil hawakuwa na presha sana maana walishajihakikishia kupita.Ole wake nimsikie mtu aniambie mpira ni mchezo wa kanuni. Cameroon imefungwa na Switzerland, na kudroo kwa bahati na Serbia. Brazil aliyemfunga Serbia na Switzerland anafungwa na Cameroon.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hili li abubakar hatari atriker la ukweli kma anapiga magoli mazuri hivi na huko kwenye 6 by 6 basi mke wake anafaidi sana,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]