Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Kiukweli ni kwasababu ni waafrica...ila sina imani na timu zetu, yaani mchezaji wa africa akiwa na mpira mda wowote anaweza nyang'anywa...bora Ghana kidogo wachezaji walikuwa na uwezo wakumiliki mpira tatizo na wao walikuwa hawajitumi kama Cameroon.
Wajitume vipi jamaninwakati sie wenyewe huku hatuwathamini
 
Ukimuondoa luis enrique wa spain, sijaona kocha mwengine wa timu ya taifa mwenye mbinu za uhakika.

Makocha wengi wa timu za taifa ni wababaishaji.

Labda ni kwa sababu ya kukosa muda wa kutosha wa kuandaa timu.
 
Ole wake nimsikie mtu aniambie mpira ni mchezo wa kanuni. Cameroon imefungwa na Switzerland, na kudroo kwa bahati na Serbia. Brazil aliyemfunga Serbia na Switzerland anafungwa na Cameroon.
Brasil hawakuwa na presha sana maana walishajihakikishia kupita.
Hata wasingecheza hii mechi.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Hili li abubakar hatari atriker la ukweli kma anapiga magoli mazuri hivi na huko kwenye 6 by 6 basi mke wake anafaidi sana,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaani wewe lazima 6kwa6 ihusike jamani[emoji134][emoji134]
 
Back
Top Bottom