Mr posibility
Senior Member
- Sep 18, 2018
- 126
- 264
Haha haha muweke demu wako mbali na yy[emoji2960][emoji2960]Hili li abubakar hatari atriker la ukweli kma anapiga magoli mazuri hivi na huko kwenye 6 by 6 basi mke wake anafaidi sana,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Enrique na wachezaji wake wanajua mpira wanaotakiwa kucheza na wanajua kuucheza. Wanaongea lugha moja.Ukimuondoa luis enrique wa spain, sijaona kocha mwengine wa timu ya taifa mwenye mbinu za uhakika.
Makocha wengi wa timu za taifa ni wababaishaji.
Labda ni kwa sababu ya kukosa muda wa kutosha wa kuandaa timu.
huyu kipa wa cameroon kapiga kazi sana aisee.
Hawakuwa na uhitaji wa kushinda ili wapiteHii World Cup ya Mwaka huu Kiboko, Timu zote ambazo zilifuzu Hatua ya 16, mechiz za Mzunguko wa Pili, Mechi za Mwisho wamekufaa
1. Ufaransa
2. Ureno
3. Brazil
Lazima sasa wee unadhani leo mke wake hatampa mbususu kwa kuwafunga brazil 🤣🤣🤣🤣 anasusiwa kabisa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaani wewe lazima 6kwa6 ihusike jamani[emoji134][emoji134]
Mtabiri hutakiwi kuwa na machaguo mengi hiyo hata mi naiwezaNafaa kuwa mtabiri🤣
Haha haha muweke demu wako mbali na yy[emoji2960][emoji29wako akiche
Kwahiyo serikal itasaidia wewe kuacha kubeti??Serikali fungieni michezo yote ya kubahatisha....itatufilisi
He was extremely excited!!Waafrika Wapuuzi kafunga goli zuri na alikuwa na njano anakula Umeme [emoji1787][emoji1787][emoji1787]kweli si ni Nyani
Hawakuwa na uhitaji wa kushinda ili wapite
Hata vikosi walivyoviweka ni vile
Wakati Mwingine Kikosi B Ndio kina Mwaga Mbungi zaidi, ili mwalimu awaone awapeleke kikosi A. Si umeona Kama kazi aliyofanya Kipa wa Cameroon, Onana anaweza asirudi namba 1.Hawakuwa na uhitaji wa kushinda ili wapite
Hata vikosi walivyoviweka ni vile dhaifu
Waafrika mnapenda sana kujidharau ndo maana mnasharauliwa. Usipojikubali hakuna atakayekukubaliaboubakar anawakilisha akili halisi za kiafrika
Ametoka.Nawashauri Ghana wawasubiri ndugu zao Cameroon Airport muda c mrefu wataungana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa wamejua kunipa raha
Basi naweza beti.Mtabiri hutakiwi kuwa na machaguo mengi hiyo hata mi naiweza