Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Hili li abubakar hatari atriker la ukweli kma anapiga magoli mazuri hivi na huko kwenye 6 by 6 basi mke wake anafaidi sana,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Haha haha muweke demu wako mbali na yy[emoji2960][emoji2960]
 
Ukimuondoa luis enrique wa spain, sijaona kocha mwengine wa timu ya taifa mwenye mbinu za uhakika.

Makocha wengi wa timu za taifa ni wababaishaji.

Labda ni kwa sababu ya kukosa muda wa kutosha wa kuandaa timu.
Enrique na wachezaji wake wanajua mpira wanaotakiwa kucheza na wanajua kuucheza. Wanaongea lugha moja.
 
Serikali fungieni michezo yote ya kubahatisha....itatufilisi
 
Wahuni wanampakazia, wanasema natembea na mke wa mchezaji mwenzake wa serbia.

Baada ya kufunga goli, dusan ameamua kujibu uvumi
1670015516440.png
 
Hawakuwa na uhitaji wa kushinda ili wapite

Hata vikosi walivyoviweka ni vile
Hawakuwa na uhitaji wa kushinda ili wapite

Hata vikosi walivyoviweka ni vile dhaifu
Wakati Mwingine Kikosi B Ndio kina Mwaga Mbungi zaidi, ili mwalimu awaone awapeleke kikosi A. Si umeona Kama kazi aliyofanya Kipa wa Cameroon, Onana anaweza asirudi namba 1.
 
Back
Top Bottom