Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Ahaa apo kweli wazungu awanaga ubabaishaji wanakunyooshea maelezo
 
Ahaa apo kweli wazungu awanaga ubabaishaji wanakunyooshea maelezo
Ni kweli na wana point kabisa.

We angalia timu kama Serbia au Poland ambazo hazikuwa na historia kubwa ya soccer ila leo wanacheza kama 1st class teams

Hawa Giants wa Africa kina Ghana & Cameroon waone...wanacheza kwa uwezo wao wote wanaishia 16 bora
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…