Vigezo wanavyoangalia ni performance za nchi husika katika soccer. FIFA wanasema wanaangalia bara ambalo nchi zake zimechukua WC zaidi hasa kwa siku za karibuni
Kingine wameweka wazi kuwa kwa bara la Africa, Asia na America ni timu chache zinamudu kuleta ushindani katika WC (Which is true)....watu hawataki kwenda kuangalia mpira wa kuboa, Brazil au Spain inacheza na Msumbiji na kumfunga 15[emoji23]
Ila wanasema mwaka 2026 kwasababu timu zitaweza kuwa 48, basi Africa itapeleka timu 9 badala ya 5 kwsbb kwa siku za karibuni wachezaji wa Africa wameperform vizuri katika National teams