Cameroon mmeendelea na safari? Huo ndo ushindi wa BrazMmeshinda Brazil?
Acha zako basi
Kombe la dunia limebakia Ulaya Mara 4 mfululizo... isitoshe kwenye 'rank' za Fifa kisoka wametawala wao.Hivi kwanini ulaya zinaingia timu nyingi? Yani wanatumia vigezo vipi?
Mimi siwakishwi na timu yoyote, Tanzania ndo ingeniwakilisha
Kufa kiume hukoTunisia
Ujerumani
Cameroon
Uruguay
Wamekufa huku wanacheka
Hatari sanaMikeka imechanikachanika leo
Kuna jamaa aliweka dollar 31,000 akapewa cashout ya 260,000 usd hakuitoaHii ndio kitu muhindi anapenda kuisikia
History za kipumbavu sana hizi
Nawapenda tu mimi π
Hako ka G. Jesus nakaangalia sana Arsenal
Bruno nakaangalia sana manyuuu β ila watu wasinisikie
Unaelewa maana ya wastani?Cameroon waongo sana. Yule Abuobakar si umri wa Onyango kabisa?
Serbia na Poland hawana historia ya soka ???Ni kweli na wana point kabisa.
We angalia timu kama Serbia au Poland ambazo hazikuwa na historia kubwa ya soccer ila leo wanacheza kama 1st class teams
Hawa Giants wa Africa kina Ghana & Cameroon waone...wanacheza kwa uwezo wao wote wanaishia 16 bora
Yupo kwao huko nikupe namba zake?Hivi umtiti yukwap sku hizi
Nilitoa angalizo jana ππΌππΌππΌMuwe mnaangalia na vikosi vinavyopangwa msije mkasema match zko fixed
Mkuu watu wa Afrika Kuna mambo tunayachukulia poa sana. Imagine last moment Aboubakar ameshindwa kuagana na wachezaji wa timu pinzani, ameshindwa kuzungumza walau kidogo na master wa mpira wenzake, vipi angeobgeza goli la pili? Ujinga sanaHistory za kipumbavu sana hizi
Leo ndiyo Kila kitu kinaanza. Picha linaanza USA anakuwa taifa la kwanza kufuzu robo fainali.Argentina, Brazil, Ufaransa, Spain, Ureno zote zimepigwa hatua katika mechi za makundi.
Pengine Uholanzi pekee anaweza kuwa mkubwa ambae hajafungwa mechi lakn amedroo walau moja.
Sasa leo ndio Kombe la Dunia linaanza rasmi maana ukipigwa kwenu.
Kwanzia leo sio mechi za kukosa...
Lile takataka lenu li Ederson limewachomesha[emoji16]Bado Kuna watu watasema brazil kauza match[emoji3][emoji3]
HapanaYupo kwao huko nikupe namba zake?