Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Ni kweli na wana point kabisa.

We angalia timu kama Serbia au Poland ambazo hazikuwa na historia kubwa ya soccer ila leo wanacheza kama 1st class teams

Hawa Giants wa Africa kina Ghana & Cameroon waone...wanacheza kwa uwezo wao wote wanaishia 16 bora
Serbia na Poland hawana historia ya soka ???

Acha kuchekesha wewe
 
History za kipumbavu sana hizi
Mkuu watu wa Afrika Kuna mambo tunayachukulia poa sana. Imagine last moment Aboubakar ameshindwa kuagana na wachezaji wa timu pinzani, ameshindwa kuzungumza walau kidogo na master wa mpira wenzake, vipi angeobgeza goli la pili? Ujinga sana
 
Argentina, Brazil, Ufaransa, Spain, Ureno zote zimepigwa hatua katika mechi za makundi.

Pengine Uholanzi pekee anaweza kuwa mkubwa ambae hajafungwa mechi lakn amedroo walau moja.

Sasa leo ndio Kombe la Dunia linaanza rasmi maana ukipigwa kwenu.

Kwanzia leo sio mechi za kukosa...
 
Leo ndiyo Kila kitu kinaanza. Picha linaanza USA anakuwa taifa la kwanza kufuzu robo fainali.
 
Back
Top Bottom