Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Sawa sawaaa ntajaribu hahaa ila ndo naipenda kwelii

Njoo uenjoy soka ,chama kubwa LFC.
Huku kuna uchambuzi wa soka wa kina,updates zote utazipata huku.

Na mashabiki hawana vurugu kabisa,,ni mwendo wa viingereza tu.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Ila nao ni waafrika[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
NYeusi Tunashida sana kama unaangalia mechi kuna maamuzi wachezaji wetu wanashindwa kuyafanya hadi hasira Mzee....Nafasi kama hiyo apewe mweupe uone sekunde mmelia.
 
Tunisia
Ujerumani
Cameroon
Uruguay
Wamekufa huku wanacheka
Hicho kifo ni cha kujitakia maana juhudi zao hazikuwasaidia baada ya makosa badala yake wakamuachie jirani aamue kuhusu vifo vyao.
 
Serious opponent gani?

Kati ya spain , Germany, ureno?

Acha dharau mkuu

Nikajua unajua mpira unavyo shabikia city kumbe unatuaibjisha tu citizens fans
Wewe nae sijui unakaza kichwa ,Hao wamekutana na timu zimeshafuzu na kuweka kikosi b Tena kucheza kwa tahadhari ,hakuna high pressing , energy ,kiufupi walikuwa wanacheza kukamilisha ratiba ,kitu gani huelewii hapo ....!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…