ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Au ndio ile kanuni ya adui mbonde kichwani imetumikaSijawahi kuona spain imefanya vibaya, ila mechi na japan 🤣🤣🤣 sijajua ili asipite mrerumani!! Maana huko mbele angekutananae kama sikosei,
Copa America ⌛Ishindwe kuchukua ubingwa Argentina ina aguero, milito ije ichukue Argentina yakina papu gomez [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mara ya mwisho Argentina kuchukua kombe la dunia ulikuwa hujazaliwaCopa America [emoji353]
CONMEBOL UEFA Cup of Champions [emoji353] Argentina 3-0 Italy
Haya niambia, wakina nani wametwaa makombe hayo? Hiyo brazili yako tumemfumua kwake tukakwea BuenosAires city na cup letu
Halafu mkuu, nikushauri tu, ushauri wa bure usio na gharama yoyote [emoji1787][emoji1787][emoji1787] acha kushabikia hilo litimu, ni aibu mwanaume mzima kushabikia hao[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wazee Wa Mbungi Mtonyo Wanarusha Wa Saa4usku
Sijaongelea mambo ya RANK kwasababu zinabadilika kila siku, hata Korea ikiwa hovyo ilikuwa juu ya Ghana na Senegal, nimekuuliza Poland na Serbia wamewahi kufika wapi katika World Cup? Wamewahi fika nusu fainali?Una kichaa wewe Poland kwenye world ranking anashika nafasi ya 28 unasema ni team mbovu.
2017 alifika Hadi nafasi ya 5 unaleta story zako za kijiweni
Unawapenda waarabu SANAASijawahi kuona spain imefanya vibaya, ila mechi na japan [emoji1787][emoji1787][emoji1787] sijajua ili asipite mrerumani!! Maana huko mbele angekutananae kama sikosei,
Ila amelibeba sio?Mara ya mwisho Argentina kuchukua kombe la dunia ulikuwa hujazaliwa
Kwanza kubishana na shabiki wa Argentina ni aibu mm size yangu Germany, Italy
Argentina size yako England huko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ulizaliwa lini ?Sijawahi kuona spain imefanya vibaya, ila mechi na japan 🤣🤣🤣 sijajua ili asipite mrerumani!! Maana huko mbele angekutananae kama sikosei,
Umeongea point sjui amekujibu vipi....watu wengine bana huwa hawataki kukubaliMkuu wakati uruguay anadroo na korea alikua kafuzu?
vp kichapo alichokula mjerumani kwa japan? nayeye alikuwa kafuzu?
Tupo vzr umeona?Kwa haya makundi kweli africa tutatoboa ata last 16? Kama hawa tunisia ndio sina imani nayo kabisa
Tupo vizuri wapi sii timu mbili tuu.Tupo vzr umeona?
Najua maadui ni wengi wanaotuombea njaa.
Lakini nachoweza kusema ni kua..
Vamooooooooooooos SELECCIÓN [emoji1033][emoji41]
#MATCHDAY [emoji92][emoji93]View attachment 2434446
MhhTupo vizuri wapi sii timu mbili tuu.
Hao tuniasia ghana na cameroun nilijua hawa timu wale.
Kocha wa ghana kama pep mnene hajui ata kusoma mchezo. Mechi zote tatuz anafungwa magoli ya aisna hiyo hiyo sasa sii bora ata ningeenda mie.