Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

D504CBF6-C424-4D2D-8F21-69DF0319801D.jpeg
 
Naona watu mnaitaja Brazil naArgentina wengine ufaransa. Page ya 116 nilishasema hawa Nedherland mtawakuta fainali na aidha Brazil au watoto wa malkia

Kaeni kwa kutulia

Sent using Jamii Forums mobile app
Fainali huwezi wakuta waholanzi na Brazil maana kwenye timu nane zitakazotoa timu moja kwenda fainali wapo upande mmoja hivyo basi kama wakikutana ni kabla ya fainali na sio kwenye fainali yenyewe.
 
Back
Top Bottom