Wataonesha mshindi wa tatuTbc wamebakiza Mechu tisa za kuonyesha ..
Mojawapo ni mechi ya Fainal..
Naomba kujua hz mechi nane ni zipi ..
Sent using Jamii Forums mobile app
Serbia na Poland hawana historia ya soka ???
Acha kuchekesha wewe
Ngoja tuone ubashiri wako kama utatimia
Nedherland kashinda mechi zote tatuHii World Cup ya Mwaka huu Kiboko, Timu zote ambazo zilifuzu Hatua ya 16, mechiz za Mzunguko wa Pili, Mechi za Mwisho wamekufaa
1. Ufaransa
2. Ureno
3. Brazil
Fainali huwezi wakuta waholanzi na Brazil maana kwenye timu nane zitakazotoa timu moja kwenda fainali wapo upande mmoja hivyo basi kama wakikutana ni kabla ya fainali na sio kwenye fainali yenyewe.Naona watu mnaitaja Brazil naArgentina wengine ufaransa. Page ya 116 nilishasema hawa Nedherland mtawakuta fainali na aidha Brazil au watoto wa malkia
Kaeni kwa kutulia
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukishinda mechi 3 unakuwa na point ngapi?
Unazungumzia timu bora kutoka Africa au timu zote katika mashindano?Kuna watu wanaangalia mpira kimazoea. Mpaka sasa timu bora ya hii michuano ni Morocco.
Basi watakutana semi finalsFainali huwezi wakuta waholanzi na Brazil maana kwenye timu nane zitakazotoa timu moja kwenda fainali wapo upande mmoja hivyo basi kama wakikutana ni kabla ya fainali na sio kwenye fainali yenyewe.
Nimechanganya alitoa sare na Ecuador.Ukishinda mechi 3 unakuwa na point ngapi?View attachment 2434500
Yaweza kuwa hivyo ila tusi_mpuuze USA anaweza kumpa game ya maana NED
Yaweza kuwa hivyo ila tusi_mpuuze USA anaweza kumpa game ya maana NED