Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Kwenye hii world cup nimegundua ball possession siyo kigezo cha kushinda, ila mpira wa spidi na kushtukiza ndo unaleta magoli, ukiremba unachezea za uso fasta.

USA wasipobadilika kipindi cha pili wataongezwa dozi.
 
Nadhani dozi hii haitoshi waongezwe ile ya sindano inayoumaaaa

Maana bado homa yao ya kuingiza siasa kwenye mpira ipo juu sana

Walazwe na kulazwa kabisa
 
Back
Top Bottom