Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
🤣🤣🤣🤣🤣🤣! Carrasco putin hakii nirudishe selfika 🤣🤣🤣🤣😁🤣!! Ndio naona hapaa half time Netherlands 2-0 USA 🤣!Hio mechi ya zamani..angalia world cup central sio hio select
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣! Carrasco putin hakii nirudishe selfika 🤣🤣🤣🤣😁🤣!! Ndio naona hapaa half time Netherlands 2-0 USA 🤣!Hio mechi ya zamani..angalia world cup central sio hio select
Beberu anatepeta leo
Naam naamBeberu anatepeta leo
Wanaudhi, wapo kama Atletico. USA anapiga boli yanamvizia.Waholanzi hawana timu ya kucheza boli la kuvutia ila wanacheza direct football na inawasaidia kupata magoli
Naam ilikuwa na Kina Fernando Morientes na Mchawi wa Real Madrid Raul....
| Highest | 1 (July 2008 – June 2009, October 2009 – March 2010, July 2010 – July 2011, October 2011 – July 2014) |
|---|
Mimi Semis kama Brazil atapita, nitaangalia EB25
Fainali Ramada Resort
Kibabu Van Gaal kinajua
Kiliwafikisha semi final pale brazil
Man utd walimzingua tu huyu babu
Ila ni kocha mzuri
Nipo na Australia leoNipo na Argentina leo 🙂 🙂 🙂
Antonnia anashabikia team ya dunia, inayoshabikiwa na wanaume kama sisi mzee baba, sasa wewe utashabikiaje brazil mzee baba, aise unaniaibisha mzee baba kushabikia hilo litimu, mwanaume mzima unashabikia brazili kweli!!!!!Unashabikia timu gani shemeji yangu
Barca alifanya nini??
Unawapenda waarabu SANAA
Si anapenda wanawake huyoo ndiomana anashabikia Brazil Carrasco putin 😎😁Antonnia anashabikia team ya dunia, inayoshabikiwa na wanaume kama sisi mzee baba, sasa wewe utashabikiaje brazil mzee baba, aise unaniaibisha mzee baba kushabikia hilo litimu