Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 8,252
- 18,335
Hii michuano mpaka hapa ilipofikia yoyote atakaechanga karata zake vyema anaweza chukua kombe... Naliombea chama langu France wachukue tenaDr pole sana,
Final Morocco and Argentina
Bado wajukuu wa malkia wamfuate ndugu yao kipenzi muamerika.. wakaungane na ujerumani na wengineo watetee mambo yao yaleeeeePiga haoo
Nenda Tbc online wazee wa mbungi mtonyoNaomben link ya kuchek hii game kwa simu
Ndio kama kocha alishinda la liga 2 spanish cup 1 na uefa super cup 1Nasemea kma coach
Acha dharau ww kwahyo wanaocheza mule ni wanawakeAntonnia anashabikia team ya dunia, inayoshabikiwa na wanaume kama sisi mzee baba, sasa wewe utashabikiaje brazil mzee baba, aise unaniaibisha mzee baba kushabikia hilo litimu, mwanaume mzima unashabikia brazili kweli!!!!!
Shem [emoji23][emoji23][emoji23] wanawake ndyo ugonjwa wangu kbsaSi anapenda wanawake huyoo ndiomana anashabikia Brazil Carrasco putin [emoji41][emoji16]
πππππAsante uholanzi nataka unipigie Argentina sasa mpka kirikuu astaafu mpira [emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio ishapita hivooo ikajipange kwa Robo fainali sasaUholanzi ya Van Gaal tunaibeza lakini inakimbiza mwizi kimya kimya