Mshukuru Mungu umezaliwa umepata bahati ya kumuona Messi akicheza vitakuja vizazi ambavyo vitatamani hiyo nafasiKama mtachukua kombe 'lenyu' na Lionel 'wenyu' chukueni tu, ila sijawahi kuwa na mahaba ya dhati na Messi kabisa sijui kwanini..!!
Umeona eejWacha tulewe tu maisha yenyewe mafupi unaweza kwenda ndani ukakuta umeme hakuna 😀😀😀😀
Chezaji la ulimwenguMessi akigurahi
Dunia imefurahi.
ThanksHongera mrembo... enjoy
Huwezi pendwa na kila mtu. We understand.Kama mtachukua kombe 'lenyu' na Lionel 'wenyu' chukueni tu, ila sijawahi kuwa na mahaba ya dhati na Messi kabisa sijui kwanini..!!
Nilijua tu lazima mjae hapa mtseeeeuuuuw',Hatujakuuliza 😂😂
KwinginekoLinaenda wapi mkuu?
Ae
Hata mmSiku messi akistafu mpira ndio itakua mara ya mwisho kushabikia Argentina kama nilivyoacha kushabikia Barcelona baada ya yeye kuondoka 😅
Aaah kabisaChezaji la ulimwengu
thank you Steve...!!Huwezi pendwa na kila mtu. We understand.
Shule mkuuMimi hua najiuliza hivi wachezaji wa Argentina wanagundi miguuni au ni vipi. Maana pasi zao hua znanata miguuni yaani
Bora useme wewe udugu wangu..!!Kombe haliendi Argentina
Hamna bruh sio utaniWe mwenyewe umecheka.
Ni kweliMshukuru Mungu umezaliwa umepata bahati ya kumuona Messi akicheza vitakuja vizazi ambavyo vitatamani hiyo nafasi
Messi ndo maana halisi ya mpira
...Ulaya au America ya kusini...Linaenda wapi mkuu?
Ae
Hawa Australia si wale walichapwa bao nne na ufaransaMechi itaisha kwa goli moja bila kwa Argentina!