Zuckerman
JF-Expert Member
- Jun 14, 2016
- 1,397
- 2,469
Mshukuru Mungu umezaliwa umepata bahati ya kumuona Messi akicheza vitakuja vizazi ambavyo vitatamani hiyo nafasiKama mtachukua kombe 'lenyu' na Lionel 'wenyu' chukueni tu, ila sijawahi kuwa na mahaba ya dhati na Messi kabisa sijui kwanini..!!
Messi ndo maana halisi ya mpira