Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
-
- #15,401
Haya agiza kinywaji basi tuendelee kumuangalia MessiNilijua tu lazima mjae hapa mtseeeeuuuuw',
Hahaha...!!.Ukiwa mkubwa utakuwa muuza kahawa au mchawi.
Acha washbaikie mpira mimi nashabikia Messi tu🙊Hata mm
Wapi?Kwingineko
Naona umeamua kunikumbushia madesa ya Physics bwana😅.Shule mkuu
Wanafundwa kwel kwel
Lakin pia wengi ni mbilikimo kwa hio wana low centre of gravity inayowasaidia good close control of the ball!
Yaccine tvkwa sehemu niliopo hii haifunguki
Wanaongelea kiushabiki tuuHawa sijui wanalichukuliaje hili kombe
Hivi wanajua hii ni NBC nini?
Nasema tena sijaona perfomance ya kuchukulia kombe mpaka sasa kwa game hii
I love you [emoji7]I love messi
❤❤❤❤I love you [emoji7]
Hawamchukii bwanaWanaomchukia messi sijui tuwaweke kundi lipi?
Hao sio mashabiki wa mpira.
Kwasababu tukiachana na teams Uronaldo na Umessi.
Hakuna mchezaji mpira aliyetokea na full package ya jinsi ya kuucheza mchezo kuanzia passing, magoli, freekick, dribbling nk.
Wachezaji wengine wana aspects baadhi ilabyeye ana vyote.
Yani kumchukia messi na kuupenda mpira ni unafiki kama kumchukia Muhammad na kuupenda uislam.
Kweli nimeamini.Hawa Australia si wale walichapwa bao nne na ufaransa
Bado magoli mzee
Mbungi bado hii
Kwa hii perfomance y Australia ndio i ayowapa confidence mashabikiwa Argentina kuwa watachukua kombeWanaongelea kiushabiki tuu
Hawa Argentina km watapita hapa..Wakikutana na Netherland ndo itakua mwisho wao
Sent using Jamii Forums mobile app