Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

6DF7E38F-4D64-4225-BF72-8A9AB96D2763.jpeg
 
Shule mkuu
Wanafundwa kwel kwel

Lakin pia wengi ni mbilikimo kwa hio wana low centre of gravity inayowasaidia good close control of the ball!
Naona umeamua kunikumbushia madesa ya Physics bwana😅.
Wapo Vizuri kwakweli yaani pasi na chenga ikipigwa inafika
 
Wanaomchukia messi sijui tuwaweke kundi lipi?
Hao sio mashabiki wa mpira.
Kwasababu tukiachana na teams Uronaldo na Umessi.

Hakuna mchezaji mpira aliyetokea na full package ya jinsi ya kuucheza mchezo kuanzia passing, magoli, freekick, dribbling nk.

Wachezaji wengine wana aspects baadhi ilabyeye ana vyote.

Yani kumchukia messi na kuupenda mpira ni unafiki kama kumchukia Muhammad na kuupenda uislam.
 
Hawamchukii bwana

Sasa wewe shabiki wa simba utamshabikia fei toto mkuu
 
Back
Top Bottom