Nilufer
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 9,603
- 13,654
Kwanza hao anaosema real taste ni kina Nani huyo Brazil mwenyewe kapigwa na Cameron ๐๐๐Huwa mnachonga sana ila mechi ikija wanatoboa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanza hao anaosema real taste ni kina Nani huyo Brazil mwenyewe kapigwa na Cameron ๐๐๐Huwa mnachonga sana ila mechi ikija wanatoboa
Sasa hiyo ni Denial.Duh mkuu hapo pagumu asee
Wachache wanaweza
Wengi lazima wasage kunguni mpaka mwisho
Probably so we hopeTukutane Tarehe Tisa saa Nne kamili usiku
NETHERLAND VS ARGENTINA
Probably ndo utakua mwisho wa Argentina
Sent using Jamii Forums mobile app
Hana world cupSasa mtu afanyeje sasa ili umkubali wewe mshabiki wa mpira? Maana Messi kashafanya kila kitu.
Netherland hana mpira wa maana.Tukutane Tarehe Tisa saa Nne kamili usiku
NETHERLAND VS ARGENTINA
Probably ndo utakua mwisho wa Argentina
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona unatulazimisha kumshabikia?Wanaomchukia messi sijui tuwaweke kundi lipi?
Hao sio mashabiki wa mpira.
Kwasababu tukiachana na teams Uronaldo na Umessi.
Hakuna mchezaji mpira aliyetokea na full package ya jinsi ya kuucheza mchezo kuanzia passing, magoli, freekick, dribbling nk.
Wachezaji wengine wana aspects baadhi ilabyeye ana vyote.
Yani kumchukia messi na kuupenda mpira ni unafiki kama kumchukia Muhammad na kuupenda uislam.
Wanajua ni Ndondo Cup[emoji16]Hawa sijui wanalichukuliaje hili kombe
Hivi wanajua hii ni NBC nini?
Nasema tena sijaona perfomance ya kuchukulia kombe mpaka sasa kwa game hii
Wapitie wapi sasa?Argentina akikutana na France au brazil halafu akapita basi kuanzia hapo ntaanza kumkubali Messi na Argentina
Tbc Wana manenoMessi anaondoka na manispaa
Tbc mnanipa raha
Labda anamaanisha kubeba hilo kombe..๐๐Kwanza hao anaosema real taste ni kina Nani huyo Brazil mwenyewe kapigwa na Cameron ๐๐๐
Kwani kwa sasa ni Mzee ?Kuna hii move amefanya Leo hapa, amenikumbusha enzi za ujana wake 2010/11/12/13.