Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Alie karibu na Saint Anne atusaidie kwa kuficha vitu kama kanga, vitenge, shuka na vyote jamii ya kamba hua havitakiwi kuwa karibu na mtu mwenye msongo wa mawazo
 
Sasa hiyo ni Denial.
Na ni ugonjwa.
Mbongo utamuambia nini mkuu
Hajali ni ugonjwa au ni nini
Ni mwendo wa hapa tu👇🏿👇🏿
images (93).jpeg
 
Hana world cup

Sent using Jamii Forums mobile app
Vikombe inashinda timu sio mchezaji.
Kwahyo kukosa world cup ni ishu ya Argentina sio messi, maana messi hawezi kujigawa akawa beki, akawa kipa na akawa mfungaji hapohapo.
Tutofautishe kucriticize timu na mchezaji.
Mchezaji anaweza akawa mkali ila timu mbaya haifuzu hata world cup (kama Haaland)
Hiyo sasa sio sababu ya kuu'doubt uwezo wa Haaland
 
Sasa mtu afanyeje sasa ili umkubali wewe mshabiki wa mpira? Maana Messi kashafanya kila kitu.
Abebe hili kombe, tena hata asipofika huko ila wakikutana na timu mbili kati ya Brazil au France halafu akapita basi mi ntaanza kumkubali

Sio magoli mepesi kama haya ambayo kipa anachomesha ndio mumpe sifaaaa

Nataka kuona hizi timu zenye wachezaji mastaa wakikutana na upinzani mkali sio hii kokota komota tunayiona hapa
 
Mbona unatulazimisha kumshabikia?
Kwani lazima??

Duniani huwezi kukubaliwa na kila mtu,hata uwe mzuri vipi.
Siyo lazima wote tuwe mashabiki wake.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Najua duniani huwezi kukubaliwa na kila mtu hata uwe mzuri vipi, ila lazima utakubaliwa na wale wanaouona huo uzuri wako.

Mfano unaweza kuwa mzuri kwenye boxing ila watu wengine wasikukubali kwasababu hawapendi mchezo wa ngumi.
ila ni ngumu kumkuta mshabiki wa ngumi hamkubali Muhamad Ali au Mike Tyson.
Au ukute mshabiki wa basketball hamkubali Mike Jordan.

Kwahyo ambao hamumkubali messi hamuuoni uzuri wake au?
 
Mimi hua najiuliza hivi wachezaji wa Argentina wanagundi miguuni au ni vipi. Maana pasi zao hua znanata miguuni yaani
Ni ufundi tu, kumbuka wachezaji wafuatao...wa kwanza ni Dimitri Berbatov alikuwa wa Man United, then Maradona then Xavi Kocha wa Barca

Itakuwa kuna namba wanafanyiwa training
 
Back
Top Bottom