Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Wanaomchukia messi sijui tuwaweke kundi lipi?
Hao sio mashabiki wa mpira.
Kwasababu tukiachana na teams Uronaldo na Umessi.

Hakuna mchezaji mpira aliyetokea na full package ya jinsi ya kuucheza mchezo kuanzia passing, magoli, freekick, dribbling nk.

Wachezaji wengine wana aspects baadhi ilabyeye ana vyote.


Yani kumchukia messi na kuupenda mpira ni unafiki kama kumchukia Muhammad na kuupenda uislam.
Mbona unatulazimisha kumshabikia?
Kwani lazima??

Duniani huwezi kukubaliwa na kila mtu,hata uwe mzuri vipi.
Siyo lazima wote tuwe mashabiki wake.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom