Yah Mimi siyo mnafiki
Sio lazima kumshabikia.Tunauona uzuri wa tunaowakubali
Akina Mo salah na wengine wengi.
Hata kama ni mzuri,ila sisi siyo shabiki zake.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Mlianza akivuka makundi. Mkaja akivuka mtoano. Sasa mmeamia kwenye hatua inayofuata.Ila hii Argentina kwa nerthaland ikipita mniite mbwa
Mambo ya KUS na KASUpepo umebadilika
"Inge" "tunge" "ninge" ni comforts za losers.Bila kipa kufakisha saizi ingekuwa tunaongoza 1 bila
Wapi tumeupinga?Sio lazima kumshabikia.
ila mnapoanza kuupinga huo uzuri wake ambao kila mwenye macho anauona na kusema anaruka uwanjani, sijui hana uwezo ndo mnakosea.
Hataweza...!Argentina akikutana na France au brazil halafu akapita basi kuanzia hapo ntaanza kumkubali Messi na Argentina
Kawaida mkuu...huenda La-pulga kazitesa Sana timu zao pendwa..Sio lazima kumshabikia.
ila mnapoanza kuupinga huo uzuri wake ambao kila mwenye macho anauona na kusema anaruka uwanjani, sijui hana uwezo ndo mnakosea.
Sio shida zetu, za mess ndio tunaziona😂😂Nyie mliokjwa mnashangilia chenga mbili za Messi mmeziona hizoooo au mpaka apost Millard Ayo?