technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Yaani kama Kibu DMartinez ndo nin icho sasa
Embu imagine Poland anaenda kufanya nini R16Abebe hili kombe, tena hata asipofika huko ila wakikutana na timu mbili kati ya Brazil au France halafu akapita basi mi ntaanza kumkubali
Sio magoli mepesi kama haya ambayo kipa anachomesha ndio mumpe sifaaaa
Nataka kuona hizi timu zenye wachezaji mastaa wakikutana na upinzani mkali sio hii kokota komota tunayiona hapa
Kwakuwa Argentina chama langu linacheza sihitaji waende Extra time.Dakika 7 zimeongezwa
Acha makasiriko we nyonyomaNafikiri unalipata somo huko