Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Ila ukiangalia Chanel ya fun zone kuna mashabiki wana mizuka balaaa
 
Abebe hili kombe, tena hata asipofika huko ila wakikutana na timu mbili kati ya Brazil au France halafu akapita basi mi ntaanza kumkubali

Sio magoli mepesi kama haya ambayo kipa anachomesha ndio mumpe sifaaaa

Nataka kuona hizi timu zenye wachezaji mastaa wakikutana na upinzani mkali sio hii kokota komota tunayiona hapa
Embu imagine Poland anaenda kufanya nini R16
 
Walioenda kutetea mashoga wako wapi sasa hivi 🙊😅
 
Back
Top Bottom