Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Hapa kwa sengal na ecuador gol difference inaweza kuwa muhimu sana. Senegal hasipigwe nyingi dhidi ya holland
 
Hapa kwa sengal na ecuador gol difference inaweza kuwa muhimu sana. Senegal hasipigwe nyingi dhidi ya holland
Senegal atafungwa na neds tuu nazani na ataliza na 6 pts , afuuuu MM NAONA. CROATIA LAZIMA WABEBE ASEEEEE (POINT TO NOTE REFER ILE LILILOPITA WALIFIKA FINAL WAKIWA UNDER DOGS THEN FRANCE WAKAIBUKA !)
 
Hata mimi nawapa agerntina kwani nitafurahi sana mess akibeba ndoo, na itaniuma akichukuwa ureno bora brazili achukuwe.
Argentina yasasa ni nzuri ila nakuhakikishia inafungwa vizuri na Brazil kama wakikutana.
 
Naona kama senegal akipata sare kwa uholanzi atapata nafasi ya kusonga mbele
 
Reactions: Lee
NILIONA MITANDAONI KUWA RUSHWAA KAMA KAWAIDA ILITEMBEZWA KWA EQUADOR NATIONAL TEAM ILI IFUNGWE TUU NA QATAR SO KIMETOKEA HICHO SO KUMBE SIO KWELI !??
Kuna watu wanaumia sana hii World cup kufanyika Qatar,
So,kila siku wanazusha jambo baya dhidi ya Qatar,
Walijiandaa tu ili kama Qatar angeshinda waseme rushwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…