Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikuwa ana linda goal lake kwa kutumia back 5 kwa sababu Argentina ni wazuri ku break lines kwa counter attacks.Ni mahesabu tu ukizingatia hii ni tournament na ni mtoano.Alibadili mfumo ukawa wa mabeki watatu wale mafull beki wakawa mawinger... mbona ilikuwa waz kabisaaa.. mbele wakabaki wawili julian na LEO10
Nipo na Australia leo
Acha dharau ww kwahyo wanaocheza mule ni wanawake
Tutawafundisha adabu nyie Argentina na huyo kirikuu mapunye wenu
Asante uholanzi nataka unipigie Argentina sasa mpka kirikuu astaafu mpira [emoji23][emoji23][emoji23]
Gakpo Uefa anacheza? ,De jong sawa ni class yupo Uefa?au kigezo chako nini? World cup ni team inacheza sio majina!.ukiacha De jong hakuna midfielder yoyote wa kidachi anaeanza first11 ya Argentina!.Huyo Otamendi unaesema ni starter Argentina kwa muda sasaWewe bhana yani mido za Brighton ata UEFA Hazijechi zije zimsumbue dejong na Gapko
Argentina hakuna team
Uyo messi ata kabwa na mfumo tu van drjik, ake,delight
Wewe hangaika na flop otamend uone Depay atachomfanya
Depaul bora AKAMInko wa AZAM
Tulishamtangaza bingwa tangu October 11.Argentina will be the winner of world cup 2022.
Klaasen ni bora kuliko De paul? mac allister? De roon ni bora kuliko Enzo fernandez? Mpira unaangalia wapi mkuu!.Ok huyo Otamendi unaesema jana jana katoa workrate ya 7/10 unataka kusema nini! angalia hii[emoji116]Nmegundua na Argue ni kichaaa ivi kuna kiungo wa Argentina anaeweza pata number uholanzi?
Ndo maana mna struggle adi na Australia kwa beki otamendi
Argentina ungepewa USA angekutoa
Tuliza kende basi daily kuiongelea Argentina [emoji1033] vibaya na wanazidi kuchanja mbuga hao Netherlands [emoji1179] ndio nini?mbona wa kawaida mno?USA unaona ni ya kutisha?tuliza kende basi mtoto wa kiumeNmegundua na Argue ni kichaaa ivi kuna kiungo wa Argentina anaeweza pata number uholanzi?
Ndo maana mna struggle adi na Australia kwa beki otamendi
Argentina ungepewa USA angekutoa
Ndo' maana tiketi za kutazama Argentina zilikuwa ni 'dhahabu'. Ziliisha mapema mno maana watu wanataka kumtazama Messi.
Kakojoe ulale broooNmegundua na Argue ni kichaaa ivi kuna kiungo wa Argentina anaeweza pata number uholanzi?
Ndo maana mna struggle adi na Australia kwa beki otamendi
Argentina ungepewa USA angekutoa
Basi tunawasubiri hao wenye kitu!Iyo work rate ata mm ningeifikisha Australia hamna kitu
Mkuu unajieleza sana lakini ukweli messi hana world cupVikombe inashinda timu sio mchezaji.
Kwahyo kukosa world cup ni ishu ya Argentina sio messi, maana messi hawezi kujigawa akawa beki, akawa kipa na akawa mfungaji hapohapo.
Tutofautishe kucriticize timu na mchezaji.
Mchezaji anaweza akawa mkali ila timu mbaya haifuzu hata world cup (kama Haaland)
Hiyo sasa sio sababu ya kuu'doubt uwezo wa Haaland
Acha kumpa sifa ambazo hana. Mwanamme mwenye akili ya kurzawa hawezi kuwa na kende. Anaweza kuwa na sehem za siri ila sio kende na mkuyengeTuliza kende basi daily kuiongelea Argentina [emoji1033] vibaya na wanazidi kuchanja mbuga hao Netherlands [emoji1179] ndio nini?mbona wa kawaida mno?USA unaona ni ya kutisha?tuliza kende basi mtoto wa kiume
Mmeanza kukiri Kwa vinywa [emoji1]Nimemtazama jana Messi akiwa anacheza nikapata picha fulani akilini.
Ushabiki wangu wa Real Madrid ulinifanya niwe upande wa Ronaldo kila anapopambanishwa na Messi, lakini leo naomba nikiri kwamba
" Christiano Ronaldo ni mchezaji bora duniani, hajawahi kutokea mchezaji kama Ronaldo na hatakuja kutokea. Lakini Ronaldo ana tatizo moja kubwa sana, na tatizo hilo ni Lionel Messi"