Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Wakipita mechi ijayo basi niiteni kaka Nyonyoma 😃
Duh !...nyie raia nyie ?....🙄🙄🙄Ikipita niite shoga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakipita mechi ijayo basi niiteni kaka Nyonyoma 😃
Duh !...nyie raia nyie ?....🙄🙄🙄Ikipita niite shoga
Kama watamkaba kwa kutumia mikono sawa,🤔Kwa Mholanzi, Mfaransa au Brazil hutamwona akicheza hivi, ujue hilo
Kuwa kocha wa England ni stress tupu...timu pendwa ya wanahabari na wachambuzi..Nilivyo tizama mechi yao na USA ndipo nikajua kwamba wa kawaida,pili kocha wao hajiamini anasikiliza maneno ya nje ya magazeti na kelele za mashabiki,kwenye kupanga kikosi chake.
Umeangalia mpira lakini?Sometimes naonaga Messi haangaiki uwanjani yaani anatembea anajua punda ziko zinafanya kazi kwaajiri yake zinamsogezea ye anapasia nyavu,, Nothing special at all
Netherlands wana kipi cha ajabu kuliko Argentina? Hivi Argentina mnawachuliaje mazee! Ecuador tu aliwapa game tough hao wadachi,hata jana walipigiwa mpira mkubwa tu USA licha ya kushinda.Hata huyo netherlands akifungwa bado mtaomba akutane na mwingine na mpaka final hivyo.Kwa jinsi nilivyo waona Argentina jana eti ndio wanaenda kukutana na Nedherland Quarter Finals. Asee Messi shughuli yake inaenda kuishia hapo
Sijui watu wanaona Argentina wana makubwa gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpaka nawaonea huruma nyie mnaojiita mashabiki wa Argentina. Hivi kwa ukubea gani hasa unajiaminisha unaweza kuchomoka kwa Nedherland wewe, kwa mpira gani hasa?Plz plz plz mashabiki wa Netherlands [emoji1179] mjitokeze tuwahesabu leo ni Saturday na game yetu ni Friday hatutaki visingizio jitokezeni tuwajue
Uto tena.France yap lazima tushinde
Au ulimaanisha uto? maana nao wana kigoma pale kwa Mkapa
Jamani hivi huyo Argentina ana ubora gani mnauona kiasi kumuweka hata level moja na France? Huyo Argentina hata Morroco tu anamtoa kamasiTimu zilizobaki kombe la dunia ukiondoa Argentina, Brazil na France nyingi ni mbovu tuendelee kuwepo!![emoji28][emoji28]
Usiwashtue waache si wanaona Argentina anabeba kombe ipo siku hapa watakimbiana atatoka kwa aibu nakwambia [emoji23][emoji23][emoji23]Kwa jinsi nilivyo waona Argentina jana eti ndio wanaenda kukutana na Nedherland Quarter Finals. Asee Messi shughuli yake inaenda kuishia hapo
Sijui watu wanaona Argentina wana makubwa gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!! Wana yanga wanavokuzoom😎😎😖Tatizo Australia walivaa jezi za yanga ,tatizo lilianzia hapo ....
Netherlands ana mpira gani kumzidi Argentina? Ukiacha kushinda jana Netherlands amecheza nini?Mpaka nawaonea huruma nyie mnaojiita mashabiki wa Argentina. Hivi kwa ukubea gani hasa unajiaminisha unaweza kuchomoka kwa Nedherland wewe, kwa mpira gani hasa?
Mtalia na kusaga meno hiyo siku yan timu icheze kwa kumzunguka mtu mmoja ufananishe na timu inayocheza total football?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo France ana ubora gani kumzidi Argentina? Huyu aliepigwa na Tunisia au kuna nyingine?Jamani hivi huyo Argentina ana ubora gani mnauona kiasi kumuweka hata level moja na France? Huyo Argentina hata Morroco tu anamtoa kamasi
Sent using Jamii Forums mobile app
Nahamishia nguvu zangu zote kuisapoti Uholanzi ningekuwa mchawi hata kwa mganga ningeenda kuiroga Argentina isitoboe,ngoja tuone next match hivi unamjua Gapko wewe ?bado De jong dimba la Kati akisambaza upendo hata mtu uwe juu ya muembe pasi inakufikia..Haya nasubiria kusikia "Pamoja Argentina kashinda lakini hawatafika mbali"
Huu mkeka lazima nimnywe kanjibhaiRobo fainali ni:-
Netherlands VS Argentina
Japan VS Brazil
England VS France
Morocco VS Portugal
Anayebisha ahifadhi comment hii atakuja kunishukuru baadae
Nakuunga mguuJapan,Korea Hawa hawajakutana na serious opponent...wamepita tu ilimradi ,kombe la dunia halina kubahatisha mzee[emoji3][emoji3][emoji3]
Hivi ukiacha De jong wana kiungo gani mwingine ana maajabu pale! Argentina ina the likes of enzo fernandez,Paredes,Mac allister,De paul( the beast) na bado kuna Messi ambae anacheza kama attacking midfielder(playemaker).Ngoja nikwambie the only weakness ya Argentina team ni fullbacks zake kushambulia ila sio kwenye midfields.Mfano wao wana mtu kama Dumfries ni beki mzuri kushambulia,na ndo strength yao ilipo.Ila kwa midifieds hell no hawatoweza battle.Dejong atawatesa mno viungo wenu wasio wabunifu kuna depaul
Me leo kuna ki2 kanikera.. Kwnn uanze na Papu Gomez game ya Australia.. Weka Dybala tucheze asee
Hlf issue nyngne iliyokuja kutupa shida unamtoa Papu aliyekua mbele unamleta Lisandro Martinez Defender wa 5 wkt mda wa iyo sub ilika bado ni mapema kufny ivo.
Sema ki2 kzr najua Di maria anarud nafas yake game ijayo na iyo ni muhm sana Di Maria ni mtu wa muhm sana sana kuwepo.
Alibadili mfumo ukawa wa mabeki watatu wale mafull beki wakawa mawinger... mbona ilikuwa waz kabisaaa.. mbele wakabaki wawili julian na LEO10Dah nilijua mimi tu ilinikera iyo sub.. Namalizia andika comment yang naona na ww comment yako mkuu.
Yan coach pale ndo alianza taka kutupeleka Extra time big time.. Sub gn ya uoga iyo wkt game bado kbs tena tunacheza na Australia asee nilikwazika sana na pale ndo mbele akampa kaz ngum sana Messi.
Hlf ss Messi anapambana baada Lautaro amalize game anageuka kua Higuain tena Yan wamefny had mwsh unaangalia mpr kwa presha wkt haikua hata na maana yoyote.
Acha roho mbaya-mkataa kwao ni mtumwa.England hawezi tolewa na timu za Africa ,mbona mnakaza fuvu .....
Hii ni timu pendwa duniani ,iwe mvua au jua ,goli la mkono au la kisigino lazima Senegal aondoke ...