Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Kumbe Messi anaelezeka eeh?

Ngona nami nimeulezee Martinez

Alipata mpira akashuti hakuwa na utulivu ukapaa kama ambavyo alivyopaza Messi kwe ye attempt yake ya mwanzo kabla hajapata bao

Si umeona kumbe ishu ni kukosekana tu kwa maelezo mazuri ila Martinez aliteleza kama ilivyo kwa Messi
Mpira aliopewa Martinez na alivhoshoot ni fyongo, yule kijana hajatulia atakuwa na safari ndefu sana. Mesi kampa chakula kilichokwisha pikwa akashindwa kumeza
 
Group stage worst XI
13EC42F9-4272-43DB-9BB7-3C4A490C0DB6.jpeg
 
Nilkuwa nimeweka unazi mbele kwenye mechi hii ya Argentina.

Narudi sasa kwenye uhalisia. Game ya Uholanzi na Argentina ili Messi na wenzake waweze kwenda nusu watahitaji kurekebisha kwanza madhaifu makubwa ya ukuta wao, Otamendi muda umempita wapewe nafasi wengineo.

Coach kama coach kuna vitu anazingua mnoo,
Kuna group nipo la argentina nahisi me ndiyo African mwenyewe.

Wanasema coach anazingua mnoo kwenye selection dizaini Leo ndiyo anaziba mapengo yake unless otherwise mambo inakuwa mbaya mnoo.

Wanasema watafikisha ujumbe kwa AFA.

Vamoooossss Argentina🤍[emoji171]
 
Plz plz plz mashabiki wa Netherlands [emoji1179] mjitokeze tuwahesabu leo ni Saturday na game yetu ni Friday hatutaki visingizio jitokezeni tuwajue
Hakika sio washinde ndo wengne waanze kujitokeza.. Tujuane mapema ili sik iyo mmoja aende nymbn mapema.

Vamoooooooossss[emoji1033]
 
Argentina [emoji1033] hatutamsahau Higuain wa final ya world Cup ya mwaka 2014 hata jana nimemuota kwa alichotufanyia siku ya game na yeye mwenyewe hatasahau hyo game sijui sijui nini kilimpata hadi akatunyima [emoji1628] gold medal ila pia inawezekana Di Maria angecheza tungenyanyua makwapa
Yan Mkuu ukisema Higuain naumia sana yule falaa 2014 alitukosesha ubingwa kbs Yan dah bas tu.

Ngj mwaka huu tupambane pamoja watu bado hawatak kutuamin lkn sik wakituona tunanyanyua makwapa maadui ze2 presha inaweza kuwaua[emoji23].

Vamonosssssssss [emoji1033]
 
Coach kama coach kuna vitu anazingua mnoo,
Kuna group nipo la argentina nahisi me ndiyo African mwenyewe.

Wanasema coach anazingua mnoo kwenye selection dizaini Leo ndiyo anaziba mapengo yake unless otherwise mambo inakuwa mbaya mnoo.

Wanasema watafikisha ujumbe kwa AFA.

Vamoooossss Argentina🤍[emoji171]
Design anaogopa kufunguka, wewe unaongoza moja dk 50 unaingiza beki Martinez.

Siaujua why De Maria nae hapati nafasi wakati Juve ana upiga mwingi au labda anakosa mechi fitness kutoka na majeraha aliyo yapata,mechi za UEFA.
 
Mechi za baadaye hata sijui nikae upande ganiView attachment 2435010
Kesho wazee wa kuweka mimeka mambo ni bum bum
Mteremko,
Mshindi ni France na England.

Angalau Mane angekuwepo kungekuwa na matarajio.

Kikosi Cha England kilivyosheheni vipaji.
Ngoja tuone Senegal anavyojaribu kupenya kwenye tundu la sindano.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom