Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Sema tu una hamu ya kamnyweso acha kutengeneza vijisababu, mwisho wa siku uje useme Argentina walikupitia sijui muda huo shetani atakuwa nafanya nn
Sijawahi kunywa pombe
Wakipita nakuwa mlevi chakari
 
F9FD9AAB-84ED-4720-9524-91511127AE5C.jpeg
 
Nafasi za Messi zilikuwa clear chance? Hivi Messi abakie na kipa kama vile akuache?
Angalia goli la kwa alilo funga kazungukwa na watu wangapi?

Messi leo alikuwa anatembea na watu wanne, sasa kwa msambuliaji hii ni advantage, kwako mda mwingi unabaki mwenyewe na kuwa na space ya kufunga,ndio maana Martinez chance zote alizo zipata alikuwa mwenyewe.

Mwanzo nilikuwa na jiuliza kwanini Martinez anaanzia benchi ila majibu nimeyapata bora tu aanze Martinez.
Kumbe Messi anaelezeka eeh?

Ngona nami nimeulezee Martinez

Alipata mpira akashuti hakuwa na utulivu ukapaa kama ambavyo alivyopaza Messi kwe ye attempt yake ya mwanzo kabla hajapata bao

Si umeona kumbe ishu ni kukosekana tu kwa maelezo mazuri ila Martinez aliteleza kama ilivyo kwa Messi
 
Na ni mabomu kwel kwel

Fainal ya 2014 higuain na yule kinywele kimoja walizingua sana
Argentina [emoji1033] hatutamsahau Higuain wa final ya world Cup ya mwaka 2014 hata jana nimemuota kwa alichotufanyia siku ya game na yeye mwenyewe hatasahau hyo game sijui sijui nini kilimpata hadi akatunyima [emoji1628] gold medal ila pia inawezekana Di Maria angecheza tungenyanyua makwapa
 
Kumbe Messi anaelezeka eeh?

Ngona nami nimeulezee Martinez

Alipata mpira akashuti hakuwa na utulivu ukapaa kama ambavyo alivyopaza Messi kwe ye attempt yake ya mwanzo kabla hajapata bao

Si umeona kumbe ishu ni kukosekana tu kwa maelezo mazuri ila Martinez aliteleza kama ilivyo kwa Messi
Martinez aliteleza wapi sijaona kuteleza? Chance alizo pata Martinez alikuwa na 95% kufunga.

Messi leo sehemu zote alikuwa anatembea na watu wanne hata hayo mashuti kulikwa hamna clear line of sight, labda kama unataka kubishana.
 
Sometimes naonaga Messi haangaiki uwanjani yaani anatembea anajua punda ziko zinafanya kazi kwaajiri yake zinamsogezea ye anapasia nyavu,, Nothing special at all
Watanzania bwana waache hawa watu wapo vizuri sana mdomoni...this is nearly insane...kama kazi ni kupasia nyavu and nothing special at all, mbona wachezaji wote hawapasii nyavuni mambo yaishe?? Mbona sie Tanzania hatupasia nyavuni tufuzu twende WC??

Au mbona US na Australia waliotoka Leo hawakuoasia tu nyavuni waende robo?? Yaani uanavoandika kama kweli vile

Nimeamini kweli kuna baadhi ya wachezaji wanafanya mpira uonekane rahisi sana, imagine mtu anakuambia kwa Lionel messi nothing special at all anapewa tu mpira anapasia nyavuni, kila mchezaji akipewa mpira na akiwa na uwezo wa kupasia nyavuni imagine football game ingekuwaje

Kuna wachezaji(sio messi pekee Bali wapo na wengine wengi tu) uwezo wao ni daraja juu inabidi tukubali tuweke chuki zetu na ushabiki wetu pembeni as long as those players are concerned acheni blah blah zenu

Na wachambuzi wengi wa mpira Tanzania ikifika kwenye timu au wachezaji wanazozipenda(wanaowapenda) au wasizozikubali(wasiowakubali) wanakuwa wapo very subjective instead of being objective chunguza sana ili
 
Back
Top Bottom