Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
- #15,661
Ika Mkoloni akiaga mapema itakuwa safi japo najua ni ngumu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi piaFrance wapo hovyo, Brazil nao naona kama kukosekana kwa Neymar kume waathiri sana.
Mimi Morocco na itizama lwa jicho jingine kabisa japo hapewi nafasi lakini wale watoto wanaupiga mwingi.
USA wanacheza kwa kutumia notes za mwalinu. Wadutch wanatumia experienceKuna jamaa mmoja nilimwambia Mpira sio Rank tu, ila hata historia na Experience zinabeba timu. Akawa mbishi sana
Leo Nerthelands imemshinda USA, sio kwamba USA ni wabaya Hapana, ila pia ukubwa, uzoefu na performance zinazibeba timu kubwa, wachezaji wanacheza kwa kujiamini
Huwezi fananisha Poland au Serbia na kina Argentina au France kwenye Robo au Nusu fainali ya World Cup
Kuteleza niliyoiandika hapo sio ile ya "sliding" nimemaanisha kuteleza ile ya "kukosea"Martinez aliteleza wapi sijaona kuteleza? Chance alizo pata Martinez alikuwa na 95% kufunga.
Messi leo sehemu zote alikuwa anatembea na watu wanne hata hayo mashuti kulikwa hamna clear line of sight, labda kama unataka kubishana.
England hawezi tolewa na timu za Africa ,mbona mnakaza fuvu .....Mechi za baadaye hata sijui nikae upande ganiView attachment 2435010
Poland atajuta kuingiza timu yake uwanjani kesho ...Mechi za baadaye hata sijui nikae upande ganiView attachment 2435010
Hatukatai kukosea ,je unakosea ktk mazingira gani,wewe na kipa hamna kusema labda kuna beki aliye block your line of site, basi ktk clear chance mbili pata moja,chance mbili zote unakosa.Kuteleza niliyoiandika hapo sio ile ya "sliding" nimemaanisha kuteleza ile ya "kukosea"
It's Lionel Messi's world and we're all just living in it [emoji238]
MzeeKumbe Messi anaelezeka eeh?
Ngona nami nimeulezee Martinez
Alipata mpira akashuti hakuwa na utulivu ukapaa kama ambavyo alivyopaza Messi kwe ye attempt yake ya mwanzo kabla hajapata bao
Si umeona kumbe ishu ni kukosekana tu kwa maelezo mazuri ila Martinez aliteleza kama ilivyo kwa Messi
Broh, acha kutetea upuuzi yule striker wako mechi ijayo anaanzia benchi na atalikalia dakika zote 90, Mana analeta masihara pale tunapokuwa seriously. Mechi zijazo mbao ndefu ndiyo zitakuwa makazi yake.Kumbe Messi anaelezeka eeh?
Ngona nami nimeulezee Martinez
Alipata mpira akashuti hakuwa na utulivu ukapaa kama ambavyo alivyopaza Messi kwe ye attempt yake ya mwanzo kabla hajapata bao
Si umeona kumbe ishu ni kukosekana tu kwa maelezo mazuri ila Martinez aliteleza kama ilivyo kwa Messi
Kesho mabigwa watetezi wanacheza.Mechi za baadaye hata sijui nikae upande ganiView attachment 2435010
Nafasi za Messi zilikuwa clear chance? Hivi Messi abakie na kipa kama vile akuache?
Angalia goli la kwanza alilo funga kazungukwa na watu wangapi?
Messi leo alikuwa anatembea na watu wanne, sasa kwa msambuliaji hii ni advantage, kwako mda mwingi unabaki mwenyewe na kuwa na space ya kufunga,ndio maana Martinez chance zote alizo zipata alikuwa mwenyewe.
Mwanzo nilikuwa na jiuliza kwanini Martinez anaanzia benchi ila majibu nimeyapata bora tu aanze Martinez.
Nilivyo tizama mechi yao na USA ndipo nikajua kwamba wa kawaida,pili kocha wao hajiamini anasikiliza maneno ya nje ya magazeti na kelele za mashabiki,kwenye kupanga kikosi chake.England hawezi tolewa na timu za Africa ,mbona mnakaza fuvu .....
Hii ni timu pendwa duniani ,iwe mvua au jua ,goli la mkono au la kisigino lazima Senegal aondoke ...
Tunatunza risitiEngland hawezi tolewa na timu za Africa ,mbona mnakaza fuvu .....
Hii ni timu pendwa duniani ,iwe mvua au jua ,goli la mkono au la kisigino lazima Senegal aondoke ...
Di maria anq nyota na argentina, gem nying akiwepo wanashindaga.Argentina [emoji1033] hatutamsahau Higuain wa final ya world Cup ya mwaka 2014 hata jana nimemuota kwa alichotufanyia siku ya game na yeye mwenyewe hatasahau hyo game sijui sijui nini kilimpata hadi akatunyima [emoji1628] gold medal ila pia inawezekana Di Maria angecheza tungenyanyua makwapa
Muache akae benchi mi pia sifagilii nidhamu yake, ila akiwa uwanjani nataka kumuona akijitumaMzee
Broh, acha kutetea upuuzi yule striker wako mechi ijayo anaanzia benchi na atalikalia dakika zote 90, Mana analeta masihara pale tunapokuwa seriously. Mechi zijazo mbao ndefu ndiyo zitakuwa makazi yake.
Haina nomaBasi jiandae muda umefika wa kulewa na marafiki, siku utakazokuwa unakuja kulewea bar za Tabata usisite kunistua hiyo ndo itakuwa maana halisi ya furaha