lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 17,951
- 23,705
Mpira aliopewa Martinez na alivhoshoot ni fyongo, yule kijana hajatulia atakuwa na safari ndefu sana. Mesi kampa chakula kilichokwisha pikwa akashindwa kumezaKumbe Messi anaelezeka eeh?
Ngona nami nimeulezee Martinez
Alipata mpira akashuti hakuwa na utulivu ukapaa kama ambavyo alivyopaza Messi kwe ye attempt yake ya mwanzo kabla hajapata bao
Si umeona kumbe ishu ni kukosekana tu kwa maelezo mazuri ila Martinez aliteleza kama ilivyo kwa Messi