Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Alibadili mfumo ukawa wa mabeki watatu wale mafull beki wakawa mawinger... mbona ilikuwa waz kabisaaa.. mbele wakabaki wawili julian na LEO10
Alikuwa ana linda goal lake kwa kutumia back 5 kwa sababu Argentina ni wazuri ku break lines kwa counter attacks.Ni mahesabu tu ukizingatia hii ni tournament na ni mtoano.
 
Mtatuelewa tuu mwaka huu

Vamooos Argentinaa

Usiku wa jana uwanja ulifurika kwa timu pendwa pamoja na mchezaji wao pendwa, anaependwa kuliko mchezaji yeyote kuwahi kutokea
 
Wewe bhana yani mido za Brighton ata UEFA Hazijechi zije zimsumbue dejong na Gapko

Argentina hakuna team
Uyo messi ata kabwa na mfumo tu van drjik, ake,delight

Wewe hangaika na flop otamend uone Depay atachomfanya

Depaul bora AKAMInko wa AZAM
Gakpo Uefa anacheza? ,De jong sawa ni class yupo Uefa?au kigezo chako nini? World cup ni team inacheza sio majina!.ukiacha De jong hakuna midfielder yoyote wa kidachi anaeanza first11 ya Argentina!.Huyo Otamendi unaesema ni starter Argentina kwa muda sasa
 
Nmegundua na Argue ni kichaaa ivi kuna kiungo wa Argentina anaeweza pata number uholanzi?

Ndo maana mna struggle adi na Australia kwa beki otamendi

Argentina ungepewa USA angekutoa
Klaasen ni bora kuliko De paul? mac allister? De roon ni bora kuliko Enzo fernandez? Mpira unaangalia wapi mkuu!.Ok huyo Otamendi unaesema jana jana katoa workrate ya 7/10 unataka kusema nini! angalia hii[emoji116]
 
Nmegundua na Argue ni kichaaa ivi kuna kiungo wa Argentina anaeweza pata number uholanzi?

Ndo maana mna struggle adi na Australia kwa beki otamendi

Argentina ungepewa USA angekutoa
Tuliza kende basi daily kuiongelea Argentina [emoji1033] vibaya na wanazidi kuchanja mbuga hao Netherlands [emoji1179] ndio nini?mbona wa kawaida mno?USA unaona ni ya kutisha?tuliza kende basi mtoto wa kiume
 
Mkuu unajieleza sana lakini ukweli messi hana world cup

Hata hzo record alizonazo messi bila wachezaji wenzake asingezipata coz hawezi kujigawa

Simply umeandika Non sense

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuliza kende basi daily kuiongelea Argentina [emoji1033] vibaya na wanazidi kuchanja mbuga hao Netherlands [emoji1179] ndio nini?mbona wa kawaida mno?USA unaona ni ya kutisha?tuliza kende basi mtoto wa kiume
Acha kumpa sifa ambazo hana. Mwanamme mwenye akili ya kurzawa hawezi kuwa na kende. Anaweza kuwa na sehem za siri ila sio kende na mkuyenge
 
Nimemtazama jana Messi akiwa anacheza nikapata picha fulani akilini.

Ushabiki wangu wa Real Madrid ulinifanya niwe upande wa Ronaldo kila anapopambanishwa na Messi, lakini leo naomba nikiri kwamba

" Christiano Ronaldo ni mchezaji bora duniani, hajawahi kutokea mchezaji kama Ronaldo na hatakuja kutokea. Lakini Ronaldo ana tatizo moja kubwa sana, na tatizo hilo ni Lionel Messi"
 
Mmeanza kukiri Kwa vinywa [emoji1]

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…