Sikudokoa Mboga yako
JF-Expert Member
- Mar 13, 2022
- 462
- 947
Sawa. Tutakutana QF tuwaonyeshe mpiraNetherlands ana mpira gani kumzidi Argentina? Ukiacha kushinda jana Netherlands amecheza nini?
Argentina kila wakiitazama hii mechi wanajiona wenye bahati sana
Hivi vitu gani mnaleta humu?Geit 2 mtibwa 1
Mkuu sio ramli, kiukweli mchezo anaocheza Argentina ni wa kawaida kiasi akikutana na timu kama Nedherland, England, Spain huyo unamuhusudu hachomoki. Brazil ndio anatoa game tough sana huwezi fananisha na Argentina mzeePiga ramli mkuu ila utashangaa sana