vibesen xxx
JF-Expert Member
- Jul 23, 2022
- 3,187
- 6,620
Nami nimeshangaa mkuuKounde, amevaa mkufu. Hivi inaruhusiwa mchezoni?
Kounde, amevaa mkufu. Hivi inaruhusiwa mchezoni?
Siwapendi ila pia hua sifurahii mchezaji wa timu yoyote apate majeraha. Acha tu acheze wakipigwa isije kuwa sababu ni Mbape aliumiaUyu mbape hata kumtegua enka mabeki wameshindwa?
Nilifikiri nimeona vibaya nikapotezeaKounde, amevaa mkufu. Hivi inaruhusiwa mchezoni?
Brazil [emoji1054] ipi unayoizungumzia?ambayo Copa America ilichukuliwa nyumbani kwao na Argentina [emoji1033]?Mkuu sio ramli, kiukweli mchezo anaocheza Argentina ni wa kawaida kiasi akikutana na timu kama Nedherland, England, Spain huyo unamuhusudu hachomoki. Brazil ndio anatoa game tough sana huwezi fananisha na Argentina mzee
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah nipo kwenye kona yangu pendwa naangalia akina dembele walivyokosa goliUpo live? Na game
Dembele kamsetia lakini mchizi kafanya ukibuGiroud anakosa hapa
Hapo si wanaonesha mashabiki tu mkuu
Kibu mtupuDembele kamsetia lakini mchizi kafanya ukibu