Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Mapenzi ya jinsia moja
Sijui kwanini jumuiya ya mashoga ina nguvu sana.Ukiwaongelea lazima upigwe vita sana.Hata Makonda alisumbuliwa sana na jumuiya hii mara tu baada ya kuwaingiza mashoga kwenye vita vyake,hata kupigwa ban kuingia US.
Mashoga na ulimwengu kwa ujumla lazima waelewe kwamba ushoga ni dhambi tangu enzi na enzi,ndio iliyosababisha miji ya sodoma na GOMORAH kuunguzwa kwa moto enzi za nabii Lutu na Nabii Abrahamu😳
 
Mbona kulikuwa Na mchezaji mwingine wa Qatar mbele Zaid YA hao?
Itakuwa huyo mchezaji alikuja baada ya hili tukio kutangulia
sababu kipa alitoka huyo mchezaji mmoja aliyezidi wa Qatar alihesabiwa kama kipa, Sheria ya offside inataka wakabaji wawili wawe mbele ya mshambuliaji, akiwepo mkabaji mmoja tu hata kama sio kipa ni offside.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…