Jackal
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 9,971
- 13,608
Sijui kwanini jumuiya ya mashoga ina nguvu sana.Ukiwaongelea lazima upigwe vita sana.Hata Makonda alisumbuliwa sana na jumuiya hii mara tu baada ya kuwaingiza mashoga kwenye vita vyake,hata kupigwa ban kuingia US.Mapenzi ya jinsia moja
Mashoga na ulimwengu kwa ujumla lazima waelewe kwamba ushoga ni dhambi tangu enzi na enzi,ndio iliyosababisha miji ya sodoma na GOMORAH kuunguzwa kwa moto enzi za nabii Lutu na Nabii Abrahamu😳