yesamrich
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 2,520
- 4,526
Ndo sheria?Mbappe anatakiwa kuchukua uefa ,ili achukue balondiyoooo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo sheria?Mbappe anatakiwa kuchukua uefa ,ili achukue balondiyoooo
Hiyo ya kupigana kwenye makalio sio tu kwenye mechi hii wala kwenye football pekeeNauliza swali....kwann watu wanakumbatiana na kupigana vibao vya matako kwenye hii mechi. Nimeona wachezaji wawili wa poland wakiwa wanaingia...uwanjani. Hapa naangalia wachezaji wa poland na france wanahug na kuspank each other...whites wote naona wameoza.
Angalau mguu mmoja unatakiwa utokee kwenye mstari wa goli wakati anaruka kudakaMguu wa kipa unatakiwa uwe kwenye mstari wakati wa penat
Hata hiyo ya pili ingetokea amedaka ingerudiwa tena maana hakua kwenye mstari
Nauliza swali....kwann watu wanakumbatiana na kupigana vibao vya matako kwenye hii mechi. Nimeona wachezaji wawili wa poland wakiwa wanaingia...uwanjani. Hapa naangalia wachezaji wa poland na france wanahug na kuspank each other...whites wote naona wameoza.
Ananikumbusha GOAT Cristiano Ronaldo that's why Mbappe anasema yeye ni copy ya RonaldoGoli zake anafungia mbali kulee
Jamaa ni hatari na nusu[emoji108]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Wanachukua tena Mkuu,Hakuna namna.Walishachukua world cup ni vizuri waachie wengine
Umerudia tena mr sweet handwriting
Leo ndio nahamini kwanini madrid roho inawauma sana kumkosa uyu kiumbe Mbape
Ila yeye hana kiburi.Ananikumbusha GOAT Cristiano Ronaldo that's why Mbappe anasema yeye ni copy ya Ronaldo
Tuna shida na hiki kikombe, waleteni hao mabishoo wa kibrazil tumalizane nao mapemaGoli zake anafungia mbali kulee
Jamaa ni hatari na nusu[emoji108]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
KumbeeeMguu wa kipa unatakiwa uwe kwenye mstari wakati wa penat
Hata hiyo ya pili ingetokea amedaka ingerudiwa tena maana hakua kwenye mstari
Ukweli Mchungu, Ingawa Waingereza Watakutukana [emoji1787]Final whistle
Poland 1-3 France
Hongera ufaransa kufuzu robo fainali
Ufaransa anaenda kukutana na kibonde mwingne robo fainali senegal/mkoloni
Aisee hizi mambo zenu za upinde sasa mnataka kuzipeleka mbali SanaNauliza swali....kwann watu wanakumbatiana na kupigana vibao vya matako kwenye hii mechi. Nimeona wachezaji wawili wa poland wakiwa wanaingia...uwanjani. Hapa naangalia wachezaji wa poland na france wanahug na kuspank each other...whites wote naona wameoza.