Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Hiyo ya kupigana kwenye makalio sio tu kwenye mechi hii wala kwenye football pekee

Kama unafatilia sports kuanzia basketball, American football, baseball n.k wote huwa wanapigana ivo ni kama wanapeana 'tano'
 

Wameozaje sasa na wewe ?
 
Yani kama Argentina atakutana na France kwakweli France itabidi nimkate kwa mida kwanza . Mahaba yangu kwa messi ni zaidi ya mahaba kwa mume
 
Aisee hizi mambo zenu za upinde sasa mnataka kuzipeleka mbali Sana

Ni kawaida sana Kwa wachezaji wa mpira wao Kwa wao au na kocha wao kupigana vibao vya makalioni

Huwa wanafanya hivo kama ishara ya kumtakia mchezaji all the best, au kumpa motisha,au kuridhishwa na kiwango alichoonesha mchezaji katika mechi husika

Na wala sio kwao tu ni Dunia nzima hii utaiona, kuanzia Bongo Hadi huko uarabuni, fatilia pia ligi yetu ya NBC utaona hicho kikitokea

Kwahiyo sidhani kama ni vizuri Kwa kila kitu kuhusisha na mambo ya ushoga na kufanya mazuri yanayotokea kwenye kombe la Qatar hayapewi nafasi ila tunabaki tunavipa airtime vitu ambavyo sio lengo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…