Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbappe ni sprinter, Henry-type mkuu. Yani anachokaje kwa mfano, at 23yo yupo hivyo akifika 27 yupo peak mzee, huyo dogo atavunja rekodi zote kuanzia ya Henry hadi ya Giroud.Mbape ni complete package
Ila anatumia nguvu sana
Mpira wake akifika 27 atakuwa ameshajichokea
[emoji16][emoji16][emoji16] hapo saizi unasema dahhh ningejua ningebeti ukweli nikatia pesaWasee wa BTTS lazima kesho supu iwe na chapati tano, tunavunja mwiko wa chapati mbili kesho[emoji1787]View attachment 2435934
mimi sijabikii timu yeyote kati ya hizo ila ukweli mchungu, Argentina hana timu ya kumfunga France labda wabahatishe hata kama Messi akiwa kwenye form bado Argentina itafungwa asubuhi na FranceHuwa siweki akiba, likija mdomoni linapita kama lilivyo[emoji1787]
Argentina watawekwa na France asubuhi tu.
Mfaransa mpaka sasa hajakutana na team yenye upinzani mkubwaPole sana
Kuna kambi ya Messi wakija hapa watakuambia Messi katika hiyo age alikuwa na Ballon D'or 3Mbappe ni sprinter, Henry-type mkuu. Yani anachokaje kwa mfano, at 23yo yupo hivyo akifika 27 yupo peak mzee, huyo dogo atavunja rekodi zote kuanzia ya Henry hadi ya Giroud.
Usinene ukamalaHuwa siweki akiba, likija mdomoni linapita kama lilivyo[emoji1787]
Argentina watawekwa na France asubuhi tu.
Paki kibus hapo 🤣
Hii WC sio ya kuweka timu nyingi, timu moja, tia kapesa kako kadogo usije pata presha, asubuhi baada ya kusaini kwa nyapara unaagiza chapati tano na supu ya kuku wa kienyeji [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16] hapo saizi unasema dahhh ningejua ningebeti ukweli nikatia pesa
Kwa mwaka huu hiyo fainali haaitawezekanaNipo na senegal hadi mwisho ila fainali naitamani France na Brazil
Kwamba akiwa 23 alikuwa na ballon d'or 3? Hizo takwimu zitakuwa za 2040.Kuna kambi ya Messi wakija hapa watakuambia Messi katika hiyo age alikuwa na Ballon D'or 3
Tupe timu zilizokutana na timu ngumu mkuuMfaransa mpaka sasa hajakutana na team yenye upinzani mkubwa
Australia
Denmark
Tunisia
Poland
Kwa team alizokutana nazo France unaweza ukaona anachukua tena world cup
Lakini nakuhakikishia hapa
Kuanzia sasa kwenda mbele ndo tutajua ubora wa team
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli mkuu namie naongelea hiyo screen shot yako maana huo ni mfano tu bali hukuweka pesaHii WC sio ya kuweka timu nyingi, timu moja, tia kapesa kako kadogo usije pata presha, asubuhi baada ya kusaini kwa nyapara unaagiza chapati tano na supu ya kuku wa kienyeji [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
England anafika Nusu fainalMwisho wa England [emoji1022] ni leo saa 6 usiku tutafutane
Kuna mmoja alinijibu hivyo baada ya kusema Mbape kashavunja rekodi za akina Ronaldo na Messi at that ageKwamba akiwa 23 alikuwa na ballon d'or 3? Hizo takwimu zitakuwa za 2040.