Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Wasee wa BTTS lazima kesho supu iwe na chapati tano, tunavunja mwiko wa chapati mbili kesho[emoji1787]
IMG_20221204_203517_726.jpg
 
Huwa siweki akiba, likija mdomoni linapita kama lilivyo[emoji1787]

Argentina watawekwa na France asubuhi tu.
mimi sijabikii timu yeyote kati ya hizo ila ukweli mchungu, Argentina hana timu ya kumfunga France labda wabahatishe hata kama Messi akiwa kwenye form bado Argentina itafungwa asubuhi na France
 
[emoji16][emoji16][emoji16] hapo saizi unasema dahhh ningejua ningebeti ukweli nikatia pesa
Hii WC sio ya kuweka timu nyingi, timu moja, tia kapesa kako kadogo usije pata presha, asubuhi baada ya kusaini kwa nyapara unaagiza chapati tano na supu ya kuku wa kienyeji [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ni kweli mkuu namie naongelea hiyo screen shot yako maana huo ni mfano tu bali hukuweka pesa

Ndomana nasema hapo baada ya kamkeka Ka kuzuga kutick ndo unabaki unajisemea kimoyo moyo kuwa dahh ningekeweka hela saizi ningekuwa nimepata kibunda
 
Back
Top Bottom