Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Ni kweli mkuu namie naongelea hiyo screen shot yako maana huo ni mfano tu bali hukuweka pesa

Ndomana nasema hapo baada ya kamkeka Ka kuzuga kutick ndo unabaki unajisemea kimoyo moyo kuwa dahh ningekeweka hela saizi ningekuwa nimepata kibunda
Mkuu unataka uone betway yangu ilivyonona...hahaha, au kale kameseji ka "congratulations?"[emoji1787]
 
Senegal inawachezaji wengi wanacheza epl na ligi za
a chini
Koulibal
Mendy
Sarr
Kouyate
Gana
Mendy

Na wengine

Hawa wote wameajiriwa uingereza kwenye timu mbalimbali

Baada ya hii mechi unaweza ukatokea ugomvi km ule wa Ronaldo na Rooney miaka ya nyuma
 
Kuanzia kesho kwenda mbele mpaka final ndo tutapata ladha halisi ya world cup.

Hizi mechi nne za jana na leo ni game ambazo hata kabla hujaangalia unajua matokeo yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…